Sala ya kumiminiwa

Picha takatifu ya Yesu Kugeuka sura, kazi ya Theofane Mgiriki, 1408 hivi. Tukio hilo linachukuliwa kama kielelezo cha neema ya sala katika Ukristo.

Sala ya kumiminiwa ni istilahi ya jaribio (kwa Kiingereza ni "Infused contemplation") kuhusu hali ya sala inayopatikana tu kwa neema maalumu ya Mungu hasa kwanzia hatua ya mwanga na zaidi katika hatua ya muungano ya maisha ya kiroho jinsi yanavyoelezwa na walimu kadhaa wa Kanisa Katoliki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search